JINSI YA KUJIPA HUDUMA YA KWANZA UNAPOPATA SHAMBULIO LA MOYO



1. Chukulia ni muda wa saa 1:25 jioni unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini.

2. Umechoka sana, una hasira na umechanganikiwa.

3. Ghafla unajisikia maumivu makali kifuani yanaelekea mkononi na hata kwenye Taya. Upo umbali wa kama km5 tu kufika Hospitali iliyo karibu na kwako.

4. Bahati mbaya hujui kama utaweza kufika kwa unavyojisikia.

5. Ulishafundishwa kumfanyia mtu CPR, lkn aliyekufundisha hakuwaambia unaweza kujifanyia mwenyewe.

6. JINSI YA KIJISAIDIA UNAPOPATWA NA SHAMBULIO LA MOYO UKIWA PEKE YAKO.
Kwa kuwa watu wengi hupatwa na Shambulio la Moyo wakiwa peke yao bila msaada wowote, mtu ambaye mapigo yake ya Moyo hayako sawa na anaanza kuhisi kuzimia, au zimebaki sekunde 10 tu kabla hajapoteza fahamu.

7. Hata hivyo, waathirika hawa wanaweza kujisaidia kwa kujikoholesha mfululizo. Avute pumzi ndefu kila anapojikoholesha, na kikohozi lazima kiwe cha ndani mfululizo mpaka makohozi yatoke ndani ya kifua.

Kikohozi hicho kiendelee mpaka utakapopata msaada au mpaka mapigo ya Moyo yarudi kawaida tena.

8. Pumzi ndefu hupeleka Oksijeni mapafuni na kikohozi kuubana Moyo na kufanya mzunguko wa Damu uendelee. Nguvu ya kikohozi ya kuubana Moyo pia inasaidia kurudisha ktk mapigo ya kawaida. Kwa njia hii, waathirika wa shambulio la Moyo wanaweza kufika Hospitali.

9. Sambaza ujumbe huu kwa watu wengi uwezavyo, utakuwa umewasaidia kuokoa maisha yao!!

10. Mtaalamu amesema, kila anayepata ujumbe huu na akautuma kwa walau watu 10, tunaweza kuwa  tumeokoa maisha ya mtu mmoja.

11. Badala ya kutuma vibonzo, sambaza ujumbe huu ambao unaweza kuokoa maisha ya mtu...

12. Kama ujumbe huu utarudi kwako zaidi ya mara moja, usikasirike! Furahi kwa kutambua kumbe watu wengi wanaokujali.

Kutoka kwa:-
Dr. FC Penal
(Cardiologist)```
Previous
Next Post »