TECHNOLOGY tips

JIUNGE/JI"ADD" WHATSAPP MWENYEWE BILA ADMIN KWA WHATSAPP LINK:

Whatsapp links

Whatsapp imeongeza muonekano wake katika upande wa Kuonfoza wahusika jatika group. Wengi tumezoea kuwekwa kwenye group na kiongozi wa kundi (Admin). Lakini WhatsApp wamewezesha mtu kujiadd mwenyewe katika kundi bila hata ya kuadiwa na Admin. Mtu atajiadd mwenyewe endapo atapata ujumbe wa mualiko(invitation link) kutoka kwa kiongozi(admin) wakundi. Lakini ukiangalia katika whatsapp yako hutaona Mahali palipo andikwa invite with Link. Hivyo basi ili kupara huo muonekano Fuatana nami kwa hatua zifuatazo ili ufanikishe kutengeneza invitation link.
1.uninstall/ondoa whatsapp yako uliyo nayo sasa na Download GBWhatsApp/WhatsApp+2 au Udownload Wa Prime kwaKubonyeza Hapa.Au Tumia Whatsapp official uliyonayo

2.Baada yavkudownload Hiyo whatsapp install Kisha ifungue na kufanya usajili kwa mara nyingine na namba yako ile ile.

3.Baada ya kufanya Usajili Ingia kwa group unalotaka ku invite watu  ili wajiunge. Kumbuka ili kutengeneza hii link lazima uwe admin wa hilo group unalotaka kutengeneza Link.

4.Baada ya kuingia kwa hilo group Bonyeza juu walipo andika Group info  Kisha Bonyeza  palipoandikwa Add participant Hapo utaona Sehemu iliyo andikwa invite to group via link.

Hapo utaipata link ya group na kuisambaza kwa rafiki zako ilibwajiunge...

KUMBUKA ILI UTENGEZE HIYO LINKLAZIMA UWE NA WA PRIME, PIA UWEADMIN KWA GROUP UNATOHITAJIKUTENGEZA HIYO LINK

***************MWISHO*******