FUNNY staffs

POSTS OF THE DAY:

KWA TAARIFA YAKO

Nyuki dume akifika kileleni, korodani zake hupasuka na kisha hufariki dunia.

😂😂😂😂 ingekuwa na ss binadamu ndo tunakuwa hivyo kuna watu wangekufa wako darasa LA pili humu..walah tena😆😆😆
😜😝


WANAUME SALUNI;
Umeshawahi kwenda kwenye saluni zetu za kimasikini?nyingi zipo sinza na kinondoni😅😅😅
Basi ukishamaliza kunyoa atakuja mdada anakushika mabega na kukukanda taratiiiibu halafu anakuuliza kwa kunong'ona.
Nikufanyie massage ya kidevu?basi kidume kwa kua unashikwashikwa mabega akili yako ishakuruka unakua unasikia anasema "nivue nguo?"basi unaitikia ndio.
Kabla hajaanza na massage ya kidevu anakuuliza tena,"nikufanyie counselling ya shingo?" Kidume akili haifanyi kazi we unaitikia tu ndio.
Then anakuuliza,"naona nywele zina mba,nikufanyie fummigation?" Hapa ni mwendo wa ndio kwa kwenda mbele.
Sasa kimbembe ni pale unapomaliza kila kitu ukauliza "shilingi ngapi?" Then unaambiwa 79,850, wakati wewe mfukoni una 6,000 tu. Hapo ndio utajua kwanini popo hulala kichwa chini miguu juu ila hanyei mdomo.




 USINGIZI;
Kitandani, ukiamka saa 12 asb ukasema ngoja nilale zaidi kwa dk 5 utajikuta unaamka saa 1:45 asb.
Lakini Shuleni/darasani ikiwa ni saa 6:30 mchana ukasema ngoja nisinzie kwa dk 5 tu ukiamka unakuta ndio kwanza saa 6:31 mchana bado.😂😂😂😂
Masaa hayaendi darasani.