Teknolojia ya kuunda vitu kwa 3D Tanzania



Teknolojia ya kutengeneza vitu halisi au 3D printing ni maarufu kwa nchi zilizoendelea ambapo zinazalisha vitu kama nguo, vifaa mbali mbali na hata viungo bandia vya mwili.
Shauku ya teknolojia ya kutengeneza vitu halisi inakua kwa kasi hasa katika nchi za Ulaya, Marekani Kaskazini na pia baadhi ya nchi za Afrika hazijaachwa nyuma.
Mwandishi wa BBC SWAHILI Tulanana Bohela ameangazia jinsi teknolojia hii mpya inavyotoa fursa mpya nchini Tanzania.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO YA MAFUNZO HAYA
http://www.bbc.com/swahili/medianuai/2016/07/160722_3d_printing

Previous
Next Post »